WAZIRI WA KILIMO MHE. HUSSEIN BASHE (MB) AMEWATAKA BODI YA CHAI TANZANIA (TBT) NA WAKALA WA MAENDELEO YA WAKULIMA WADOGO WA CHAI TANZANIA (TSHTIDA) KUBORESHA MIKAKATI YA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA CHAI KUANZIA UZALISHAJI HADI UTAFUTAJI WA MASOKO.
BI MARY KIPEJA MKURUGENZI BODI YA CHAI APONGEZWA KWA KUANZISHA MNADA WA CHAI TANZANI KWA UNDANI ZAIDI PITIA https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/oped/mary-kipeja-the-woman-behind-tanzania-s-historic-tea-auction-4438074