Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

BODI YA CHAI TANZANIA

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Majukumu ya Bodi ya Chai kama yalivyoainishwa kwenye Sheria ya Chai Nambari 3 ya mwaka 1997 kifungu kidogo cha 5 sehemu ya 3 ni kama ifuatavyo: Kuishauri Serikali juu ya sera na mikakati ya kuendeleza Tasnia ya chai nchini; Kudhibiti na kusimamia ubora wa chai na bidhaa zitokanazo na chai;...