SIKU YA CHAI DUNIANI
SIKU YA CHAI DUNIANI
19 May, 2025
- 21 May, 2025
08:00:00 - 18:00:00
DODOMA
info@teaboard.go.tz
Katika kusherekea siku ya chai duniani 21 mei, Bodi ya chai Tanzania imeadhimisha siku hiyo Dodoma katika viwanja vya Nyerere Square wa kushirikiana na wadau wake mbali mbali.
Maadhimisho hayo yalifanyika katika siku tatu kuanzia tarehe 19 hadi 21 mei 2025 ikiambana na kaulimbiu ya "Mchango wa Mwanamke katika kuimarisha Mnyororo wa Thamani wa Zao la Chai"
