Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

BODI YA CHAI TANZANIA

TUKIO LA UONJAJI WA CHAI

08 Nov, 2023

BODI YA CHAI TANZANIA, INAWAKARIBISHA WADAU, WANUNUZI NA WAFANYABIASHARA WOTE KUSHIRIKI KATIKA TUKIO LA UONJAJI WA CHAI LITAKALOFANYIKA SIKU YA IJUMAA,NOVEMBA 10, 2023 KUANZIA SAA TATU ASUBUHI, KATIKA GHALA LA BRAVO, MIVINJENI, BARABARA YA KILWA , DAR ES SALAAM