Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

BODI YA CHAI TANZANIA

BODI YA CHAI TANZANIA MAONESHO YA NANE NANE

01 Aug, 2025 - 10 Aug, 2025
08:00:00 - 18:00:00
DODOMA
info@teaboard.go.tz

Bodi ya Chai iliweza kutoa elimu ya zao la chai, kueleza fursa zilizopo kwenye kilimo cha chai na sekta ya chai kwa ujumla wake.

Banda la Bodi ya Chai lilitembelewa na wageni 800 wakiwemo wakuu wa taasisi mbalimbali zilizomo nchini, mabalozi na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi kama BBC, pamoja na viongozi wa ndani na nje ya nchi.

Maonesho haya pia yamekuwa chachu ya kuimarisha ushirikiano wa wadau, kujenga mtandao mpya wa kikazi na kuimarisha uhusiano wa kimataifa unaolenga kukuza sekta ya chai.

BODI YA CHAI TANZANIA MAONESHO YA NANE NANE