KUJISHUGHULISHA NA BIASHARA YA CHAI BILA YA KUWA NA LESENI KUTOKA BODI YA CHAI TANZANIA
KUJISHUGHULISHA NA BIASHARA YA CHAI BILA YA KUWA NA LESENI KUTOKA BODI YA CHAI TANZANIA
01 Oct, 2025
Pakua
Kwa mujibu wa Kanuni ya 20 ya Kanuni za Tasnia ya chai za Mwaka 2010 Mtu hataruhusiwa kutengeneza, kuchanganya na kufungasha chai kwa ajili ya kuuza isipokuwa kwa mujibu wa leseni inayotolewa na Bodi ya Chai Tanzania. Kujishughulisha na biashara ya chai bila kuwa na Leseni ni kinyume na Sheria ya Chai, Sura Na. 275.