Mwenyekiti wa Bodi ya TBT akiwa kwenye uzinduzi wa Benki ya Ushirika(COOP BANK)
Mwenyekiti wa Bodi ya TBT akiwa kwenye uzinduzi wa Benki ya Ushirika(COOP BANK)
Imewekwa: 02 May, 2025

Mwenyekiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania(TCDC) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania @amnsekela (kulia) akisalimiana na Kaimu Mkurungenzi wa Bodi ya Chai Tanzania @beatrice_mama_grace (katikati) na Mkurugenzi wa Kampuni ya Mbolea ya Serikali, Bw. Samuel Mshote kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
Tukio hilo ambalo Mgeni Rasmi alikuwa Mh.Mkuu Kassim Majaliwa lilikuwa ni siku ya kwanza kuelekea uzinduzi wa Benki ya Ushirika ambayo inazinduliwa na Mh, Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt Samia Suluhu Hassan.