Wanafunzi wavutiwa na aina za chai 88
Wanafunzi wavutiwa na aina za chai 88
Imewekwa: 18 Aug, 2025

Picha Mbali mbali za Wanafunzi kutoka katika Shule ya Sekondari Lukundo walipo tembelea Banda la Bodi ya Chai Tanzania na kupatiwa zawadi za majani ya Chai pamoja na Fulana za Bodi ya Chai. Mbali na zawadi hizo pia walielimishwa juu ya umuhimu wa Kunywa chai na ninamna gani Chai itawasaidia kiafya na kuzidisha umakini katika Masomo yao.