Waziri Bashe azindua mwongozo wa uwekezaji- Sekta ya Chai
Waziri Bashe azindua mwongozo wa uwekezaji- Sekta ya Chai
Imewekwa: 09 Apr, 2025

Waziri wa Kilimo, Mh. Hussein Mohamed Bashe amezindua Mwongozo wa Uwekezaji kwenye Sekta ya Chai hapa nchini, mwongozo ambao unaotoa maelekezo kwa wawekezaji katika kuwekeza kwenye sekta hiyo hapa nchini.
Uzinduzi huo umefanyika kwenye Kikao cha Wadau wa Sekta ya Chai kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania Chai Tanzania(TBT), Abdulmajid Nsekela ambapo pia Waziri Bashe alitumia siku hiyo kuzindua Bodi ya Wakurugenzi ya TBT