Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

BODI YA CHAI TANZANIA

Dk Omar atembelea ghala la chai

Imewekwa: 27 Dec, 2024
Dk Omar atembelea ghala la chai

 

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo anayesimamia Maendeleo ya Mazao, Dkt. Hussein Omar Mohamed ametembelea Ghala la kuhifadhia Chai lililopo Kipawa- Dar es Salaam na kuzungumza na Wafanyakazi.

Akiwa katika ghala hilo linalomilikiwa na Bodi ya Chai Tanzania(TBT), Dk Omar alipata kufahamu masuala mbalimbali kuhusiana na ghala hilo maelezo yaliyotolewa na Kaimu Mkurungenzi wa TBT, Bi. Beatrice Banzi.

Dkt. Omar katika ziara yake hiyo anatarajia kuzungumza na wafanyakazi wa TBT katika Makao Makuu ya TBT yaliyopo Posta