Mkuu wa Mkoa wa Dodoma akoshwa na kazi za TBT
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma akoshwa na kazi za TBT
Imewekwa: 18 Aug, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule akisaini kitabu cha wageni kwenye Banda la Chai Tanzania(TBT) katika Maonesho ya 88 yanayoendelea Jijini Dodoma.
Mkuuu huyo wa Mkoa baada ya kupata wasaha wa kuelimishwa masuala kadhaa kuhusiana na chai ameahidi kuwa balozi mzuri katika kuitangaza chai ya Tanzania.