Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

BODI YA CHAI TANZANIA

DC wa Kondoa avutiwa na chai ya Tanzania ataka uwekezaji zaidi

Imewekwa: 18 Aug, 2025
DC wa Kondoa avutiwa na chai ya Tanzania ataka uwekezaji zaidi

Balozi Mteule wa Tanzania nchini Italia,Mbarouk Nassor Mbarouk (kulia) akipokea maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Chai Tanzania(TBT), Beatrice Banzi (kushoto) kuhusiana na fursa za Sekta ya Chai Kimataifa.

Balozi huyo alipata pia wasaha wa kufahamu aina mbalimbali za chai za Tanzania ukiwepo upekee wa chai ya Tanzania.

Balozi Mbarouk amesifia ubora wa chai ya Tanzania na kuitaka TBT kujitangaza zaidi ili kupata masoko mapya ya chai.